
Mama lishe Arusha wapewa mbinu kukabiliana na majanga ya moto
Arusha. Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (Osha), imetoa mafunzo maalumu kwa kinamama lishe wa Mkoa wa Arusha kwa lengo la kuwaelimisha namna ya kukabiliana na majanga mbalimbali ya moto. Mafunzo hayo yametolewa juzi Jumatano, Aprili 24, 2024 na Osha katika maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi yatakayohitimishwa Mei…