
Michel Boisvert ndio waziri mkuu wa mpito Haiti – DW – 26.04.2024
Baraza la mpito nchini Haiti limechukua mamlaka rasmi nchini humo katika hafla iliyofanyika hapo jana baada ya Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry kutangaza kujiuzulu na kufungua njia ya kuundwa kwa serikali mpya katika taifa hilo ambalo limekumbwa na vurugu za magenge. Baada ya kipindi kirefu cha machafuko yaliyosababishwa na magenge ya uhalifu hatimaye Haiti imefungua ukurasa…