
May Day ni ya wafanyakazi wastaafu je?
Siku ya kwanza ya Mei, wafanyakazi nchini wanajiunga na wafanyakazi wengine duniani kuadhimisha sikukuu yao ya ‘May Day.’ Inaelezwa kuwa ni kumbukumbu ya wafanyakazi kukata minyororo ya uonevu na kujikomboa kutoka kwa waajiri wao waliokuwa wanawaonea. Kwa Tanzagiza wafanyakazi wanasherehekea tu kupata sare mpya na kuandamana. Labda mara hii kikokotozi kitachapa lapa! Ni Sikukuu ya…