
Mastaa sita Simba wanavyoibeba Yanga
WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kulia na mastaa wa kikosi chao baada ya timu yao kukosa matokeo mazuri lakini upande wa pili umefichua juu ya sajili sita nzito za wekundu hao zinazowabeba watani wao Yanga. Ndani ya kikosi cha Yanga kuna mastaa sita ambao waliwahi kutajwa kutakiwa na Simba lakini ghafla watani wao wakajibebea kiulaini…