
RUFAA YA BENKI YA EQUITY TANZANIA NA KENYA DHIDI YA KAMPUNI YA MAFUTA YA STATE OIL YASOGEZWA MBELE
MAHAKAMA ya Rufani leo imeshindwa kuendelea na usikilizwaji wa shauri la rufaa lililokatwa na Benki ya Equity Bank Tanzania Limited na Equity Bank Kenya Limited dhidi ya kampuni ya mafuta ya State Oil, kutokana na kesi ya msingi kusikilizwa bila hati ya madai kufanyiwa marekebisho. Benki zilikata rufaa hiyo kupinga hukumu ya Mahakama Kuu Divisheni…