
Waziri mkuu awaonya viongozi wanaogawa maeneo kwenye kitega uchumi Tanga
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameonya viongozi wanaogawa maeneo kwenye kitega uchumi kipya cha Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Centre kilichopo stendi ya Kange, nje kidogo ya Jiji la Tanga wajiepushe na vitendo vya rushwa. “Viongozi wote mnaosimamia mchakato wa kuwapata wapangaji wa jengo hili, jiepusheni na vitendo vya rushwa kwa kisingizio cha kutokidhi vigezo. Mkuu…