
Aucho ashindwa kujizuia kwa Kazi
KIPIGO cha pili mfululizo kwa Simba kutoka kwa watani wao wa Yanga, kunawapa wakati mgumu mabosi wa Msimbazi kwani kwa sasa wana kazi ngumu ya kurejesha tabasamu usoni mwa wanasimba kutokana na hali ilivyokuwa kwa wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki wa klabu hiyo baada ya dakika 90 za Kariakoo Dabi. Simba ilipoteza kwa mabao…