
Mapacha Singida Black Stars, Singida FG sare kila kitu
LIGI Kuu Bara imeendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo wenyeji Ihefu (Singida Black Stars) wameshindwa katamba kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 ma ndugu zao Singida Fountain Gate katika dabi yao mpya. Matokeo hayo yamezifanya timu hizo zilingane takribani kila kitu katika msimamo, isipokuwa mabao…