
Waziri asimulia alivyosaidiwa kusomeshwa na Sokoine
Arusha. “Siku zote nimekuwa nikiamini huyu baba mzalendo wa kweli amekuwa na dhamana kubwa katika maisha yangu, naona Mungu alimtuma ninyanyuke katika familia yetu ya watoto saba, hakuna mwingine aliyeenda shule zaidi yangu.” Ni nadra kwa kiongozi ambaye amepata mafanikio ya kielimu, kiuchumi na kisiasa kuelezea mapito aliyopitia, lakini si kwa Naibu Waziri wa Madini,…