Kizungumkuti ununuzi magari ya ma-RC, DC
Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), ikipanga kutumia Sh190.57 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa magari ya viongozi wa mikoa na wilaya, suala hilo limeibua hisia tofauti miongoni mwa wananchi, wengine wakiona ni mwendelezo wa matumizi mabaya ya fedha za umma. Kwa upande mwingine, baadhi ya…