MKWAWA WAADHIMISHA WIKI YA TISA YA UTAFITI NA UBUNIFU – MWANAHARAKATI MZALENDO
NA EMMANUEL MBATILO VYUO Vikuu vina jukumu kubwa la kuwa injini ya ubunifu na ugunduzi kwani ni kitovu cha uzalishaji wa maarifa, ambapo tafiti bora za masuala mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na kisayansi hufanywa na mawazo ya mabadiliko huzaliwa. Hata hivyo, ili mawazo haya yaweze kuzaa matunda, lazima yatafsiriwe vizuri kwenye mahitaji halisi ya taifa…