
Undani sakata la vyama 19 vya wafanyakazi kuunda shirikisho jipya
Mwanza. Wakati maandalizi ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) yakiendelea, vyama 19 vya wafanyakazi wa sekta binafsi vinakusudia kuanzisha shirikisho lao, kwa sababu ya kile wanachodai kutengwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Tucta). Akizungumza na Mwananchi kuhusu azma yao, mwenyekiti wa mpito wa vyama hivyo 19 vilivyo nje ya Tucta, Michael…