
Tchakei arejesha mzuka Ihefu | Mwanaspoti
NYOTA wa Ihefu, Marouf Tchakei ameanza mazoezi mepesi na timu hiyo baada ya kukosekana kwa takriban wiki tatu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata katika mchezo wa 32 bora Kombe la Shirikisho dhidi ya KMC. Tchakei aliumia Aprili 6, mwaka huu, wakati Ihefu ilipoifunga KMC mabao 3-0, Uwanja wa Azam Complex…