Admin

Vigogo 13 Chadema kikaangoni uchaguzi wa kanda

Dar es Salaam. Vigogo 13 wanaowania uenyekiti wa kanda nne kati ya  10 za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa sasa wanasubiri usaili ili kuteuliwa na kamati kuu baada ya mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu kukamilika. Kanda hizo ni Victoria, Magharibi, Nyasa na Serengeti zinazounda mikoa ya Mwanza, Geita, Kagera, Mara, Simiyu, Iringa,…

Read More

VIJIJI 11,837 VIMEUNGANISHWA NA UMEME –DKT. BITEKO

Serikali imesema hadi kufikia Mwezi, Machi 2024 jumla ya vijiji 11,837 sawa na asilimia 96.37 ya vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara vilikuwa vimeunganishiwa huduma ya umeme. Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko Bungeni, Jijini Dodoma wakati akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara…

Read More

Fursa ya miaka mitano kwa wanafunzi wa UDSM hii hapa

Dar es Salaam. Ni matumaini kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wa fani ya uhandisi wasiomudu gharama za masomo baada ya Kampuni ya Advent Construction Limited kuingia makubaliano na chuo hicho kufadhili wanafunzi watano kila mwaka. Makubaliano hayo yaliyosainiwa jana Alhamisi Aprili 25,2024 baina ya UDSM na kampuni hiyo itawanufaisha wanafunzi…

Read More

Baba Bacca: Sitaki Bacca aende Simba

KAMA ilivyo kwa wazazi, huwa na mipango yao juu ya watoto wao, bila kujua kuwa baadae inaweza isitimie ndivyo ilivyotokea kwa Mzee Abdallah Hamad ‘Bacca’. Kuna wakati unamwacha mtoto au mtu wako wa karibu kufanya kile anachokipenda zaidi hata kama wewe hukipendi kwa sababu yeye ndie anayekifanya. Lakini tunaambiwa ni bora kumwacha mtu afanye anachokipenda…

Read More

SERA YA ELIMU 2024 KUONGEZA KASI YA TEKNOLOJIA KWA TAIFA.

Serikali kupitia wizara ya Elimu sayansi na teknolojia imejipanga kufanya mapitio ya mitaala kuanzia ngazi ya awali hadi chuo kikuu ili kuwanoa wanafunzi watakaondana na ukuaji wa teknolojia ulimwenguni ili kuleta chachu kwa maslahi ya taifa ikiwa na lengo la kusimamia utekelezaji wa sera ya elimu ya 2024 itakayosaidia kuongeza ufanisi kwa watumishi wa Umma….

Read More

Rais Samia atabiri 2030 Tanzania kuwa na CDF mwanamke

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amedokeza huenda mwaka 2030 Tanzania ikawa na Mkuu wa Majeshi mwanamke. Msingi wa dokezo lake hilo ni kile alichoeleza, katika onyesho la Paradushi mwaka huu, limejumuisha askari wa kike tofauti na miaka yote. Onyesho hilo lililofanyika katika sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa…

Read More