
Rais Samia ampa zawadi ya fedha Changalawe na wenzake
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia zawadi ya fedha nahodha wa timu ya taifa ya Faru Weusi wa Ngorongoro, Yusuph Changalawe na wenzake kutokana na kufanikiwa kushinda medali tatu za shaba katika michuano ya All African Games. Mabondia waliofanya vizuri katika mashindano hayo mbali ya Changalawe ni Mussa Maregesi…