
Ile ishu ya Onana kuzuiwa kupiga penalti na Benchikha ipo hivi
Hatimaye sababu ya kocha wa Simba Abdelhack Benchikha kumzuia Willy Esomba Onana kupiga penalti imefahamika. Jana usikukwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Simba ilivaana na KVZ kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Muungano na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, lakini gumzo ilikuwa ishu ya penalti ya dakika za mwisho. Mshambuliaji wa Simba…