Admin

Dodoma Jiji, KMC vita ya nafasi Bara

LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo Dodoma Jiji itakuwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kucheza na KMC. Dodoma ambayo huu utakuwa mchezo wake wa 23, ikishinda itasogea kutoka nafasi ya 10 iliyopo sasa na pointi 25 hadi ya nane na kuzishusha Namungo na Singida Fountain Gate zenye pointi 26…

Read More

Ukatili wa kijinsia igeuzwe kuwa ajenda na viongozi wa dini

Kuelekea katika kilele cha miaka 60 ya Muungano viongozi wa dini mkoani Manyara wameoliombea Taifa, Rais Samia Suluhu na serikali yake ili Tanzania iendelee kuwa na amani, upendo na mshikamano. Viongozi wa dini, watumishi wa umma na wananchi wa mkoa wa Manyara wamejitokeza katika uwanja wa michezo wa Tanzanite Kwaraa wakilenga kumshukuru Mungu kwa mafanikio…

Read More

SPOTI DOKTA: Sababu ya majeraha ya Inonga, Lomalisa

KATIKA Kariakoo Dabi ya Ligi Kuu Bara kati watani wa jadi, Simba na Yanga iliyochezwa Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa ilishuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1. Kama unavyofahamu mchezo huu unachezwa kwa mbinu nyingi za uwanjani na nje ya uwanja, kelele za mashabiki mitandaoni na uwanjani vinasababisha kuwepo kwa hamasa kubwa…

Read More

Viatu vya rapa Travis Scott “Jumpman Jack” kuanza kuuzwa mwishoni mwa mwezi huu

Viatu vya Travis Scott “Jumpman Jack” Jordan hatimaye vimetajwa tarehe ya kutolewa, na ni hivi karibu kabisa. Kulingana na Highsnobiety, bidhaa hiyo itatolewa Aprili 30 na itapatikana tu katika rangi nyeupe na kahawia mwanzonina baadae yatajumuisha chaguzi za ziada za rangi. Viatu hivyo vilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika tangazo mwezi Februari, ikiambatana na onyesho…

Read More

Wabunge wataka hatua zaidi athari za mafuriko

Dodoma. Wabunge wameitaka Serikali kuchukua hatua zaidi kutatua athari zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Wamesema hayo bungeni Dodoma leo Alhamisi Aprili 25, 2024 katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Hapo kwa Waziri Mkuu baada ya kuwasilishwa taarifa ya Serikali kuhusu athari za mafuriko. Mbunge wa Viti Maalumu, Tunza Malapo katika swali…

Read More

AIRTEL TANZANIA YAINGIA UBIA NA TADB KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO

Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Dinesh Balsingh wakibadilishana mkataba wa kuendeleza sekta ya kilimo na kuwa ya Kidijitali. Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Dinesh Balsingh wakisaini Mkataba wa kuendeleza sekta ya kilimo na kuwa ya Kidijitali. AIRTEL TANZANIA imeingia makubalino na Benki ya Maendeleo…

Read More

Nyota JKT afichua balaa la Aucho Yanga

Nyota wa JKT Tanzania, Hassan Kapalata amesema haikuwa rahisi kupambana na kiungo wa Yanga, Khalid Aucho katika mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya timu hizo uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na kumalizika kwa suluhu. Akizungumza na Mwanaspoti, Kapalata alisema ubora mkubwa kwa Yanga uko kwenye eneo la kiungo na Aucho ndiye…

Read More