
PPRA yasaini mkataba wa makubaliano na UNDP kuongeza ufanisi
Na Mwandishi Wetu, Dodoma MAMLAKA ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imesaini mkataba wa makubaliano na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 17 (zaidi ya Sh bilioni 40) unaolenga kuiwezesha mamlaka hiyo kuwa na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yake. Mkataba huo umesainiwa leo…