
WAKUU WA WILAYA TATU ZA MKOA WA KILIMANJARO WAKABIDHIWA MAGARI MAPYA…
Na WILLIUM PAUL, MOSHI. MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amekabidhi magari matatu kwa ajili ya wakuu wa wilaya za Rombo, Mwanga na Same ili kuongeza ufanisi wa utendaji na kuleta maendeleo ya mkoa yenye thamani ya zaidi ya milioni 200. Akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo nje ya viwanja wa ofisi za…