
Tupunguze matumizi ya pombe isiyozimuliwa ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa iwapo jamii itapunguza matumizi ya pombe isiyo zimuliwa yaliyokithiri itasaidia kukabiliana na kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy amesema hayo Aprili 23, 2024 Jijini Dar Es Salaam wakati akifungua na kuhutubia Mkutano unaojadili namna ya kukabiliana na Magonjwa Yasiyoambukiza Barani Afrika, ambapo amesema kiwango cha Matumizi ya…