
Makonda: Walitaka kuniua kwa drone wakashindwa
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka polisi mkoani humo kupambana na dawa za kulevya, akisema alinusurika kifo akipambana na dawa hizo alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Amesema kutokana na mapambano hayo, aliwindwa na watu waliotaka kumuua, lakini wakashindwa. Makonda alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam…