
Huyu ndiye Gardner G Habash ‘Kapteni’ wa Jahazi la Clouds
Dar es Salaam. Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash amefariki dunia alfajiri ya leo Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu. Gardner ambaye ni baba mzazi wa msanii wa Bongofleva, Malkia Karen, hadi anaugua alikuwa bado anatangaza kipindi…