
Boniphace Jacob asema wabadhirifu fedha za umma wachukuliwe hatua, akiichambua ripoti ya CAG
Dar es Salaam. Aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob amesema kuchukua hatua kali za kinidhamu kwa watakaobainika kushiriki katika ubadhirifu wa fedha za umma katika ripoti ya Mdhibiti Mkuu na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG,) kutasaidia kukomesha vitendo hivyo. Alitoa kauli hiyo wakati akifanya uchambuzi wa ripoti ya CAG ya Mamlaka za Serikali za…