
Ayoub atwishwa zigo la lawama Kariakoo Dabi
KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha amemuanzisha kipa Ayoub Lakred katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani zao, Yanga. Ayoub aliyesajiliwa na timu hiyo msimu huu, huo utakuwa mchezo wake wa kwanza wa Dabi ya Kariakoo kucheza tangu aliposajiliwa akitokea klabu ya Far Rabat ya Morocco. Katika kikosi cha Simba kinachoanza leo dhidi ya Yanga ni…