
Maeneo kumi ya vipaumbele yaainishwa bajeti ya ofisi ya rais mipango na uwezekaji
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), amewasilisha bajeti ya wizara yake yenye vipaumbele 10 vitakavyotekelezwa mwaka 2024/25. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25 leo Bungeni jijini Dodoma, Prof. Mkumbo amesema kuwa bajeti hiyo imebeba malengo ya kuratibu mipango thabiti inayolenga kuleta maendeleo endelevu na…