
ACT-Wazalendo yachambua ripoti ya CAG, yasema mambo ni yaleyale
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimesema yaliyobainika katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) yanaashiria mwendelezo wa ubadhirifu wa fedha za umma. Imebainishwa na chama hicho kuwa hoja nyingi zilizoibuliwa na CAG katika ripoti ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2023 zinajirudia mwaka hadi mwaka. Kwa mujibu wa…