
Karatu wahamisha wanaoishi mabondeni | Mwananchi
Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuwahamisha wananchi wanaoishi mabondeni na kuwapeleka maeneo maalumu yaliyotengwa, ili kuepukana na athari za maafa ya mafuriko. Jana, halmashauri hiyo ilifanya vikao vya Kamati za Maendeleo ya Kata (WDC) katika kata zote wilayani humo, ili kutambua maeneo yaliyoathirika na mvua zinzoendelea kunyesha. Akizungumza na Mwananchi Digital…