Admin

Vita ya mabingwa wa CAF yaanza upya!

Achana na Kariakoo Dabi itakayopigwa kuanzia saa 11:00 jioni kwa vigogo Simba na Yanga kuvaana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, saa moja kabla huko Lubumbashi, DR Congo kutakuwa na vita ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji TP Mazembe dhidi ya watetezi Al Ahly ya Misri. Baada ya pambano hilo la…

Read More

Neema ya Kariakoo Dabi kiuchumi

Achana na burudani wanayopata mashabiki wa soka nchini inapokuja Dabi ya Kariakoo, lakini ukweli, pambano hilo la watani wa jadi nchini, limekuwa na neema kubwa kwa wachuuzi na wafanyabiashara waliopo kando ya Uwanja wa Benjamin Mkapa na maeneo ya jirani. Wakati leo pambano hilo likitarajiwa kupigwa kuanzia saa 11:00 jioni tayari wafanyabiashara wadogo wadogo na…

Read More

Jumamosi yaibeba Yanga Kariakoo Dabi

MASHABIKI wa Yanga na Simba tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa Jumamosi hii ya Aprili 20, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Kitendawili cha nani mbabe kitateguliwa Jumamosi hii ingawa Yanga inaingia katika mchezo huo ikiwa na morali…

Read More

Singida FG, Mashujaa vita ya matumaini

KESHO Jumapili Singida Fountain Gate na Mashujaa FC zitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu za matumaini ya kubaki Ligi Kuu Bara na kumaliza nafasi za juu kwenye msimamo zitakapokutana katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kuanzia saa 10:00 jioni. Kocha Msaidizi wa Mashujaa FC, Makatta Maulid (kushoto) na mchezaji wa timu hiyo Shadrack Ntabindi wakizungumzia…

Read More

Watanzania watakiwa kuzingatia ubora wa bidhaa

Dar es Salaam. Watanzania wametakiwa kuzingatia ubora wanaponunua bidhaa, ili kuepuka hasara kwa kununua bidhaa zisizodumu na zinazotumia nishati nyingi.  Hayo yameelezwa jana Aprili 19, 2024 katika mkutano wa uzinduzi wa bidhaa za viyoyozi (AC) zinazouzwa na kampuni ya Haier Tanzania. Kampuni ya Haier iliingia rasmi ubia na kampuni ya GSM Group mwaka 2023 kwa…

Read More

Mtangazaji wa Clouds Gardner afariki, mastaa wamlilia

Dar es Salaam. Kufuatia taarifa ya kicho cha mtangazaji maarufu wa Kampuni ya Clouds Media, Gardner G Habash, watu mbalimbali wakiwemo wasanii na watu wanaomfahamu wametuma salamu za rambirambi kwa familia yake. Gardner amefariki dunia leo April 20,2024  saa 11 alfajiri  katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakati akipatiwa matibabu ya maradhi yaliyomsumbua. Taarifa ya…

Read More

NCCR yasema uchumi wake hauruhusu kufanya mikutano

Dar es Salaam. Viongozi wa Chama cha NCCR Mageuzi wametakiwa kurudi majimboni mwao ili kuwahamasisha wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa na kukijenga chama. Hatua ya chama hicho imekuja baada ya kile kinachoelezwa hali ya uchumi wa chama hicho kutowaruhusu kufanya  mikutano ya hadhara kama vyama vingine. Kuwaambia viongozi wao warudi majimboni ni moja…

Read More

Waziri Mkuu kuongoza majaribio SGR Dar-Dodoma Aprili 21

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza safari ya majaribio ya treni ya reli ya kisasa (SGR) itakayofanya safari kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa na watu takriban 600. Majaribio hayo yatafanyika Aprili 21, 2024.  Katika treni hiyo Majaliwa ataambatana na viongozi wa Serikali, dini na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenda Dodoma…

Read More

Aliyetishia Kariakoo Dabi mtandaoni adakwa na Polisi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Abdulshahib Hegga ‘GB64’ kwa tuhuma za kuhamasisha watu kufanya vurugu katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba kesho. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema shabiki huyo maarufu wa Simba…

Read More