
Taliss mabingwa mashindano ya Taifa ya Klabu
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Timu ya mchezo wa kuogelea ya Taliss, imeibuka mabingwa wa jumla wa mashindano ya Taifa ya Klabu baada ya kujikusanyia pointi 385. Katika mashindano hayo ya siku mbili yaliyomalizika leo Aprili 21,2024, mshindi wa pili ni Dar Swimming iliyopata pointi 330 , namba tatu ni Mwanza Club yenye alama 96,…