Admin

Msigwa ataka mdahalo na Sugu uenyekiti Kanda ya Nyasa

Mbeya. Mgombea uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amesema mkakati wa chama hicho ni kupambana na kushinda katika uchaguzi ujao. Amesema iwapo atafanikiwa kutetea kiti hicho, atapambana kuhakikisha anapunguza udumavu uliopo katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini licha ya kuzalisha chakula cha kutosha. Msigwa amemtumia salamu…

Read More

Manispaa ya Temeke yatumia Mamilioni ya fedha bila kufuata mifumo ya kudhibitishwa ubora

*Wafanya manunuzi nje ya mfumo zaidi ya sh.Bilioni Mbili Na Chalila Kibuda ,Michuzi Manispaa ya Temeke ya katika ripoti ya CAG iliweza kutumia kiasi cha sh.155,839,175 Kwa vifaa ambavyo havijavidhibishwa ubora. Hayo yamebainika katika Ripoti ya CAG ambapo ni mlolongo wa Halmashauri nyingi kufanya hivyo ikiwemo Manispaa ya Temeke Ripoti hiyo imesema kufanya matumizi ya…

Read More

KAMATI YA BUNGE UGANDA, YAVUTIWA NA MIUNDOMBINU YA UDOM

Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, ya Bunge la Uganda imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa uwekezaji mkubwa iliyofanya katika ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, pamoja na kusifu Amani na Utulivu mkubwa uliopo, kwa kuzingatia idadi kubwa ya wanafunzi wanaosoma chuoni hapo. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Gilbert Olanya, wa…

Read More

Wataalamu wa maabara wapaza sauti Zanzibar

Unguja. Utaratibu ulioanzishwa na Serikali wa kuendesha huduma za maabara za afya kwa utaratibu wa ubia kupitia kampuni na mashirika binafsi kwenye hospitali, umeendelea kuibua wasiwasi kwa wataalamu na wameshauri uangaliwe upya. Mfumo huo ulianza kufanya kazi mwaka 2023 ambapo katika baadhi ya hospitali za Serikali huduma za maabara zinaendeshwa na kampuni binafsi, lengo likiwa…

Read More

SERIKALI KUTANGAZA RIPOTI YA SENSA YA WANYAMA NA UTALII KESHO

Na John Mapepele Kesho Serikali inakusudia kutangaza rasmi matokeo ya Sensa ya Wanyamapori na kuzindua taarifa ya Watalii wa Kimataifa walioitembelea Tanzania mwaka 2023 katika mkutano unaojumuisha wadau wa uhifadhi na utalii, utakaofanyika hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Mkutano huo umeratibiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, ambapo Waziri mwenye dhamana na Wizara hiyo,…

Read More