
Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar
Unguja. Uchumi wa nchi yoyote unategemea zaidi miundombinu bora, kurahisisha usafiri na usafirishaji. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni ya barabara nzuri, imara zenye alama kwa kujali watumiaji wote. Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo. Kuna mambo yanaonekana kama madogo lakini athari yake ni…