
UMASIKINI WADAU WA KUCHANGIA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NCHINI
Na Mwandishi Wetu, Morogoro IMEELEZWA kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya umaskini na uharibifu wa mazingira hivyo ni muhimu wadau wa uhifadhi kuendelea kushirikiana na serikali katika kutekeleza miradi mbalimbali ya kiuchumi ili kupunguza uharibu wa mazingira. Kauli hiyo imetolewa na Mshauri wa Maliasili wa Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Ofisa Wanyamapori wa mkoa…