
Viongozi Ahmadiyya wajifungia wakijadili mambo matatu
Dar es Salaam. Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakutana jijini Dar es Salaam kwa mkutano wa siku mbili, huku mambo matatu yakitarajiwa kujadiliwa likiwamo la kuongezeka kwa mmomonyoko wa maadili katika nchi zao. Mambo mengine yatakayojadiliwa katika mkutano huo ulioanza leo Aprili 20, 2024, ni kuzorota kwa usalama duniani na…