
Mtumishi Hanang atupwa jela miaka 20 kwa wizi wa Sh3.5 mililioni
Hanang’. Aliyekukuwa mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Petro Muray amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa mali ya umma. Pamoja na adhabu hiyo, Muray ametakiwa kurejesha Sh3.5 milioni alizoisababishia hasara halmashauri hiyo. Muray aliyekuwa mkusanya mapato kwa kutumia mashine ya POS wa halmashauri hiyo,…