Mwamuzi wa Dabi huyu hapa!
PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Derby’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati zikibakia siku mbili tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi hii ya Aprili 20 kuisaka heshima baina yao, huku jina la mwamuzi wa pambano hilo likiifikia Mwanaspoti. Wakati mchezo huo ukisubiriwa kwa hamu taarifa…