
MKUTANO WA UZINDUZI WA BIDHAA ZA KIYOYOZI KUTOKA HAIER – MWANAHARAKATI MZALENDO
Bw. Mohamed Ally, mkurugenzi wa miradi wa kampuni ya GSM Tanzania (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Kiyoyozi mmoja wa wadau wa vifaa vya kielektroniki vya Haier 19.04.2024. Hyatt Regency dar es salaam, The Kilimanjaro Hotel, Dar es Salaam, Tanzania Kampuni ya mabingwa wa vifaa vya kielektroniki Haier wamefanya mkutano wa uzinduzi wa bidhaa za viyoyozi (AC)…