
KLABU YA ROTARY DAR YASHUSHA MADAWATI 1000 SHULE TANO ZA MSINGI DAR
KLABU Ya Rotary Dar yaendelea Kuweka Mikakati ya kuchangia ufaulu wa Wanafunzi wa shule za Misingi kwa kuboresha Mazingira rafiki ya Kujisomea kwa kugawa Madawati na kutoa elimu ya Teknohama kwa Walimu. Hayo yamesemwa na Kaimu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Jonas Rwegasira wakati akikabidhi Madawati 1000 kwa Shule tano za Msingi Wilaya ya Kinondoni…