
Profesa Janabi aonya kuhusu sukari, akikabidhi msaada waathirika wa mafuriko Rufiji
Kibaha. Miaka 300 iliyopita duniani hakukuwa na sukari, hali inayoelezwa iliwaepusha binadamu kupata magonjwa yanayotokana na matumizi ya bidhaa hiyo. Kutokana na hilo, imeelezwa wakati umefika sasa wa kuitumia sukari kwa makini kulinda afya. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya THPS (Tanzania Health Promotion Support), Profesa Mohamed Janabi amesema hayo…