
Jangwani kumekucha, Wazee, Mashabiki Yanga wakoleza mzuka ‘Kariakoo Derby’
KATIKA Makao Makuu ya Klabu ya Yanga SC, unaweza kusema hakuna kulala kwani mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wameendelea kufanya amsha-amsha kama hamasa ya kuelekea Kariakoo Dabi itakayochezwa Aprili 20, 2024 kwenye Uwanja wa Mkapa. Yanga ni mwenyeji wa mchezo huo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba, ndiyo sababu ya mashabiki wa Yanga kutoka…