
Acha inyeshe tujue panapovuja Dabi ya Kariakoo
PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Dabi’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati ikibakia siku moja tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kesho Jumamosi kuisaka heshima baina yao. Kitendawili cha nani mbabe kitateguliwa Jumamosi hii ingawa Yanga inaingia katika mchezo huo ikiwa na morali kubwa hasa baada…