
Mbunge azikataa ‘English Medium’ za Serikali
Dodoma. Mbunge wa viti maalumu (CCM), Taska Mbogo amezichongea manispaa na halmashauri kwa kuanzisha shule za mkondo wa Kiingereza ‘English Medium’ na kulipia ada, hali ambayo ni tofauti sera ya Serikali ya elimu bila malipo. Mbogo amesema hayo leo Alhamisi Aprili 18, 2024 wakati akichangia taarifa ya makadirio ya mapato na mtumizi kwa mwaka wa…