CCM yachangia Sh milioni 10 kwa wanachi waliopatwa na maafa ya maporomoko ya Mlima-Itezi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi , amewatembelea wananchi waliopatwa na maafa ya kuharibikiwa kwa nyumba na mali zao mara baada ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini na kusababisha maporomoko ya matope kutoka kwenye Mlima Kawetere, Kata ya Itezi, jijini Mbeya. Mara baada ya kufika kwenye kambi wanaoishi kwa muda…