
VIDEO: Mapito wanawake waliotelekezwa na waume zao Bwawa la Mtera
Dodoma. Wazazi wana jukumu la malezi ya watoto, lakini hali imekuwa tofauti kwa baadhi ya familia ziishio pembezoni mwa Bwawa la Mtera wanaolelewa na mzazi mmoja pekee. Mwananchi Digital imebaini kwa kiasi kikubwa familia katika maeneo hayo zinaongozwa na wanawake baada ya wanaume kuzitelekeza. Hali hii imeonekana kwenye vijiji vya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa…