Kibu kumtungua tena Diarra? | Mwanaspoti
MIONGONI mwa makipa mahiri Afrika kwa sasa ni Djigui Diarra anayeidakia Yanga na timu ya taifa ya Mali akisifika kwa ubora wa kuanzisha mashambulizi, pia kuokoa michomo inayolenga lango lake. Pamoja na ubora huo, Diarra amekuwa akikutana na kadhia kutoka kwa mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis wanapokutana kila mtu akiwa kazini kwake. Kibu ndiye mchezaji…