MACHIFU KUTUMIA MBINU ZA KIJADI KUWADHIBITI WANAOMBEZA RAIS SAMIA MITANDAONI … “TUNAKASIRISHWA SANA”
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Mbalizi WAKATI mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Rais Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa katika mkutano mkoani Mbeya machifu nchini wametangaza kuchukua hatua kwa njia za kimila kuwakomesha wale wote wanaobeza maendeleo na wengine kutoa lugha chafu kwa Rais Dk.Samia. Machifu wamesema katika mambo ambayo yanawakasirisha na kuona au kusikia Rais Samia akitukwana…