Bibi kizimbani, akidaiwa kusafirisha bangi
Dar es Salaam. Mkazi wa Mbezi Msigani, Salma Said (60), maarufu Nangwe amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka la kusafirisha gramu tatu za dawa za kulevya aina ya bangi. Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatatu Desemba 15, 2025 na kusomewa kesi ya jinai na wakili wa Serikali, Cathbert Mbiling’i. Mbiling’i amedai mbele…