Warundi kunogesha Mashujaa Day Jumapili
KIKOSI cha Mashujaa FC kinatarajia kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Vital’O FC Septemba 7 mwaka huu maalum kwa ajili ya kutambulisha kikosi chao cha msimu wa 2025/26. Kocha Mkuu wa Mashujaa, Salum Mayanga ameupongeza uongozi wa timu hiyo kuandaa mchezo huo ambao amesema kuwa ni kipimo sahihi kwao kabla ya kuanza kwa…