Wafuga nguruwe kukutana kujadili ufugaji viwango vya kimataifa
Dar es Salaam. Wafugaji wa nguruwe nchini wameitwa kujadili ufugaji wa kisasa kwa kutumia teknolojia sambamba na mbinu mpya kutoka mataifa ya nje ili kuongeza uzalishaji wa nyama. Hata hivyo, kwa mujibu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Tanzania kuna nguruwe zaidi ya milioni 4.1 hadi mwaka 2024/25 kutoka nguruwe milioni 3.9 mwaka 2023/24 ikiwa…