AFYA YA AKILI YASISIMUA MAAFISA MIPANGOMIJI
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Maafisa Mipangomiji wanaoshiriki kikao kazi cha siku tatu mkoani Arusha wamejikuta katika msisimko wa hali ya juu kutokana na mada ya namna ya kulinda afya ya akili na umuhimu wa akili hisia katika maeneo ya kazi iliyowasilishwa wakati wa kikao hicho. Mada hiyo iliyowasilishwa na daktari bingwa mbobezi wa figo…