Noela avunja mkataba, sasa kutimkia Lithuania
BEKI kisiki wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Noela Luhala amevunja mkataba na klabu ya 1207 Antalya Spor ya Uturuki kwa makubaliano ya pande mbili na kwa sasa anajiandaa kutimkia Lithuania katika dirisha lijalo la usajili wa majira ya baridi. Noela ambaye alitua Uturuki Septemba mwaka huu, amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na…